Karibu kwa kitovu chetu! Hapa utajifunza juu ya ufukwi, mikondo ya mpasuko, waokoaji, uvuvi wa miamba na kwa muhimu zaidi jinsi wewe na familia na marafiki yako mnavyoweza kukaa salama wakati mnafurahia fukwi nzuri zetu.

Ungetaka kujifunza juu ya nini leo?

.

Kuandaa kwa siku pwani.

Kwenda ufukweni ni furaha nyingi lakini ni muhimu kuandaa kabla ya kutoka nyumbani. Chunguza vidokezo vyetu vya muhimu ili kujifunza zaidi juu ya jinsi unavyoweza kuhakikisha uko tayari kwa siku salama na ya kufurahisha ufukweni.

Kukaa salama ufukweni

Kujua jinsi ya kukaa salama na kuangalia kwa nini wakati wewe yupo pwani kunaweza kukusaidia kukaa salama na kuwa na wakati wa kufurahisha pamoja na marafiki na familia yako.

Mambo ya kujua wakati unapokwenda pwani na watoto.

Pwani ni mahali pa kushangaza kwa watoto kuwa na furaha na kufurahia. Ikiwa unapanga kwenda ufukwe pamoja na watoto wadogo, ni muhimu kujua jinsi ya kuwalinda na kuwaweka salama.

Hatari za mikondo ya mpasuko

Mikondo ya mpasuko ni hatari ya namba moja katika fukwe za Australia. Kujua jinsi ya kuendelea kuishi katika mkondo wa mpasuko ni sehemu muhimu ya usalama wa pwani.

Jifunza kutoka jamii zetu

Kutana na jamii zetu na jifunza ujumbe kadhaa muhimu wa usalama wa pwani kutoka Waokoaji wetu ufukweni.

Chukua kipimo na ujue ni kiasi gani unajua juu ya kukaa salama pwani.

SpanishBeachQuiz

Pakua karatasi zetu za ukweli!

Karatasi bure za ukweli za kupakua, kuchapisha na kushiriki na marafiki yako na familia. Karatasi zetu za ukweli zinafaa kwa yeyote anayejaribu kujua zaidi juu ya pwani, mikondo ya mpasuko, waokoakji, uvavi wa miamba, na jinsi wewe na familia yako na marafiki mnaweza kukaa salama wakati mnapofurahia fukwi nzuri na ukanda wetu wa pwani.